Jina la Yesu si jina la kawaida—ni jina lenye nguvu kuliko yote. Linatoa wokovu, uponyaji, ukombozi, majibu ya maombi, na ushindi dhidi ya giza. Kama waumini, tumetakiwa kulitumainia jina lake
Neema Gospel Choir
Live Music performance for Ni Wewe by Neema Gospel Choir and Mathias Walichupa. Video Neema Gospel Choir & Mathias Walichupa - Ni Wewe (Live)//WORSHIP IN SPIRIT
Wimbo wa Tumaini na Urejesho Ipo furaha na amani inayorudishwa na Yesu. Kupitia wimbo huu utakufanya uinue moyo wako kwa Mungu kwa sababu ya zile ahadi alizokuahidi. "Dady Dady" inatukumbusha
Mungu si mtu, aseme uongo, wala si binadamu, abadili nia yake! Je, ataahidi kitu na asikifanye, au kusema kitu asikitimize?Hesabu 23: 19 Tarajia kupokea, ameshaahidi kukufanyia kwa wakati wake.!! Video
The official audio and Live Video Performance for Mungu Mmoja from Bella Kombo featuring Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir. Video Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir
Ikiwa YESU anaweza kuleta uzima tena kwa mifupa ile iliyokufa, kavu, iliyotapanyika, basi anaweza KUREJESHA chochote kwa yeyote! "Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU,
Urejesho ni mchakato wa kurudisha kitu kilichoharibika au kupotea. Biblia inatuhimiza kumgeukia Mungu. Na kupitia imani na maombi, tutapata uponyaji, kurejeshewa nguvu, na kupewa maisha mapya katika Kristo Yesu. Yeremia
When he came down from the mountain, great crowds followed him. And behold, a leper came to him and knelt before him, saying, “Lord, if you will, you can make
Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za
"Sifa ni Zako" from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team,