“Hakuna Mungu kama Wewe, Alfa na Omega, Ufalme Wako wathibitika milele! nia hakika wewe UNAWEZA ” nHuu ni wimbo wa sifa na utukufu kwa Mungu wetu mkuu! Tukimtukuza kwa matendo yake makuu, uweza wake usiopimika, na neema yake isiyo na kikomo. Hakuna mwingine anayelingana na Yeye!