Ikiwa YESU anaweza kuleta uzima tena kwa mifupa ile iliyokufa, kavu, iliyotapanyika, basi anaweza KUREJESHA chochote kwa yeyote!
“Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU, wajua wewe. Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.'” Ezekieli 37:1-10
If Yahweh can bring life back to those dead, dried, scattered bones, then he can RESTORE anything to anyone.
He asked me, “Son of man, can these bones live?” I said, “Sovereign Lord, you alone know.” Then he said to me, “Prophesy to these bones and say to them, ‘Dry bones, hear the word of the Lord! This is what the Sovereign Lord says to these bones: I will make breath enter you, and you will come to life. Ezekiel 37:1-10
Video
Neema Gospel Choir – Tunatabiri Ft. John Kavishe (Live Music Video)