Official audio and Live Video for Nitaamini by Israel Mbonyi. Download and be blessed.

Lyrics

Verse :
Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini
Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme
Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa
NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya,
Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu

Chorus :
Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu,
Si na mashaka wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote, Bado nitaamini

Verse :
Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu
Ni na historia maalum,We ni chemchem ya uzima.

Outro :
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini
Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini
Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu

Video

Israel Mbonyi – Nitaamini

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *