Wimbo Huu Umezaliwa ndani Ya Ushuhuda Wa Uponyaji Kamili ambao Mungu Aliuachilia Kwenye Maisha Yangu ….!

Tokea siku ya Recording Ya REDIRECTION Tuliona udhihirisho wa Nguvu Ya Uponyaji na zipo Shuhuda Nyingi , Mungu ameponya Magonjwa ameponya Nafsi ameponya Roho …

Sikiliza Ukiri huu Huku ukiamini na Hakika Utaona Udhihirisho wa Uponyaji Dhahiri hapo hapo Katika Jina La Yesu.

Video

Blessed Hango Ft John Kavishe – Napona (Official live video)

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *