Official audio and Live Video for Bwana Nasubiri (Live) by Jado Sinza featuring Zoravo.

Lyrics

Chorus
Bwana nasubiri
Uyatimize ulioniahidi
umesema nami mara nyingi

Na nafsi yangu yakuamini
Roho yangu inaamini

Verse 1
Nimesikia sauti yako

Ukinongo’na sikioni mwangu
Eti: ulivyouzunguka mlima huu
Kwa kwe Vyatosha

Aaminiye ataona: Ahadi zinadumu x2

Chorus
Bwana nasubiri
Uyatimize ulioniahidi
umesema nami mara nyingi

Verse 2
Ahadi zote
Nilizopewa na Mungu
Zilitiwa mu huri
kwa msalaba wa Yesu Kristo

Video

BWANA NASUBIRI (Live) by Jado Sinza ft Zoravo (Tanzania) 🇹🇿

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *