Tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti bado Mungu ameahidi kuwa pamoja nasi. Uhakika tulio nao atusimamisha juu ya mwamba na hakuna la kututikisa. "Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni,
Rehema Simfukwe
Yeye huondoa aibu zetu, Hufuta machozi yetu, huondoa hatia zetu na kufuta masikitiko yetu, Katika nyakati za giza, kujisahau na hata kusahaulika yeye HUTUKUMBUKA tena, huyu ndiye Mungu HALISI aliye
Mungu si mtu, aseme uongo, wala si binadamu, abadili nia yake! Je, ataahidi kitu na asikifanye, au kusema kitu asikitimize?Hesabu 23: 19 Tarajia kupokea, ameshaahidi kukufanyia kwa wakati wake.!! Video
Be Lifted cover song performed by Rehema Simfukwe as live studio session while the original version was Recorded Live at Open Heaven (The House of Praise) Toronto, Canada. The single