Lyrics [Music, Lyrics + Video] Kanjii Mbugua feat. Pambio Worship – Kama Si We Official audio and video for Kama Si We by Kanjii Mbugua featuring Pambio Worship. Lyrics Baraka zishuke kama chombaZikuangukieNeema yake izidi kukuongozaUsiji aibikeDunia ikiku chokozaKumbuka yesu anaonaUki feel unaogopaWacha akupiganie 12 months ago