Yeye huondoa aibu zetu, Hufuta machozi yetu, huondoa hatia zetu na kufuta masikitiko yetu, Katika nyakati za giza, kujisahau na hata kusahaulika yeye HUTUKUMBUKA tena, huyu ndiye Mungu HALISI aliye CHANZO cha uhai wetu nasi mioyo yetu imeitikia kuu la SHUKRANI.
“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu” Luka 1:25
Video
Rehema Simfukwe – Asante Umenikumbuka ( Live Recording )
v