Wimbo wa Tumaini na Urejesho
Ipo furaha na amani inayorudishwa na Yesu. Kupitia wimbo huu utakufanya uinue moyo wako kwa Mungu kwa sababu ya zile ahadi alizokuahidi.
“Dady Dady” inatukumbusha ukweli wa kudumu na kuongozwa na Bwana hata katikati ya mabonde ya giza, shida na taabu.
“Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana Wewe u pamoja nami; gongo lako na fimbo yako vyanifariji.” Zaburi 23.
Video
Neema Gospel Choir – Daddy Daddy (Live Music Video)