Asante…

Ni sauti ya mtu anaekiri hakuna namna yoyote anaweza kuishi bila msaada wa Mungu, katika hali zote, iwe katika shwarii au dhoruba Mungu yupo…

Ni sauti inayokiri ikiwa Mungu anaishi katika maisha yangu kila kitu kinachotokea iwe kwa akili ya kibinadamu kinapimwa kama kizuri au kibaya mbele za Mungu ni salama kila siku na kila wakati, hakuna siku ambayo anakua Mungu amani na siku nyingine ni Mungu wa dhoruba hata hali iweje kwa kipimo cha Macho ya nyama (because he is constant God the same yesterday today and forever he is always good) YAHWE

You have not borned by accident and nothing happens accidentally in your life

That’s why the Bible says in Roman 8:28

And we know that all things work together for good to them that love God, to them who are the called according to his purpose.

Ni sauti inayokiri hata katika dhoruba bado ni Mungu afanya mambo makubwa zaidi ya tuombavyo na tuwazavyo kwa Rehema na neema zake tu…

Kwa kutambua hivii hii ni sauti ambayo kila wakati hugeuza Machozi kuwa lugha ya ku peleka ibada mbele za Mungu ya kusema asante WEWE NI MWEMA kila wakati na sio malalamiko

(Machozi yanapotiririka ikawe harufuu nzuri mbele zako)

Ndio maana daudi anasema Zaburi 23:4

Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mbaya, Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Hii ni sauti ambayo kuna wakati inakosa prayer point kabisa, kwa kutambua asante ndio prayer point kubwa inayokiri kwamba tulipokea yote kupitia Kristo Yesu na kabla hatunaomba yeye husikia….

And this is how people who believes that God exist should be always.
should be the people who are positive in any situations.

Believe me that situation that your naked eyes see it as a storm, has not came to kill you or destroy you that has came for your own good, it has came to build you, to reveal the strong man/woman that he has created and that is you..

Unapoenda kusikiliza wimbo huu ukawe wimbo wa majira yote na nyakati zote, Mungu akubariki.

Video

GLADNESS SIYAME ASANTE ( LIVE MUSIC VIDEO )

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *