ABBA A SOUND OF AN AWAKENING
Unapokuwa ukikiri kuwa Mungu ndie BABA (Chanzo Chauhan wetu), acha nguvu za Mungu zikuchukue katika mahali pa kipekee pa ibada. Muamko wa nguvu za Mungu ukawe wazi ndani yako. Kila fikra zilizojiinua kinyume na kweli ya neno la Mungu zikatiishwe katika Jina la Yesu.
Bwana Yesu akasema kwa mana siwaiti tena watumwa bali rafiki zangu, tena akasema mkiniona mimi mmemuona BABA. Na ni yeye huyo akasema tumeumbwa kwa sura na mfano wa BABA. Hivyo basi Ni kitu gani kitakutenga na YEYE?
Na iwe uamsho ndani yako, kukumbushwa juu ya uungu uliopi ndani yako. Pumzi ya Mungu mwenyewe ndani yako.
Katika YEYE hakuna ukavu, giza, bahati mbaya, la kushangaza, hakuna jambo baya wala jema. Kuna KUSUDI TU LINALOISHI SAWASAWA NA MAPENZI YAKE!
ABBA AJITAMBULISHE UPYA NDANI YAKO, UINGIE 2025 UKIWA ISHARA NA UTISHO DUNIANI.
AWAKEN OH SLEEPING GIANT OF FAITH. YOUR LIGHT HAS COME.