Official Music and Video for Majeshi Ya Malaika (Mtakatifu Ni Bwana) by Zoravo.

Lyrics

Chorus:
Majeshi ya malaika
yanapasa sauti yakisema
mtakatifu ni bwana

Majeshi ya malaika
yanapasa sauti yakisema
mtakatifu ni bwana

Majeshi ya malaika
yanapasa sauti yakisema
mtakatifu ni bwana

Majeshi ya malaika
yanapasa sauti yakisema
mtakatifu ni bwana

Na sisi watoto wako
tunapasa sauti tukisema
mtakatifu ni bwana

Na sisi watoto wako
tunapasa sauti tukisema
mtakatifu ni bwana

Maelfu wa maelefu
Na sisi watoto wako
tunapasa sauti tukisema
mtakatifu ni bwana

Ni bwaaana
ni bwaaana
ni bwana
mtakatifu ni bwana

Ni bwaaana
ni bwaaana
ni bwana
mtakatifu ni bwana

Majeshi ya malaika
yanapasa sauti yakisema
mtakatifu ni bwana

Majeshi ya malaika
yanapasa sauti yakisema
mtakatifu ni bwana

Video

Zoravo – Majeshi Ya Malaika (Mtakatifu Ni Bwana)

Shares:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *